Wednesday 28 May 2014

WANYAMA NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI,TANZANIA

Taswira toka hifadhi ya Taifa ya Serengeti

 Bahari ya wanyama imetanda kila sehemu katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mara baada ya kurejea kutoka nchi jirani katika ile annual animal migration maarufu duniani
 Bwana afya akiwa kazini mbugani Serengeti
 Tembo mtoto
 Mamilioni ya nyumbu mbugani humo
 Nyumbu na pundamilia ni damu damu...
 Huyu kakoswakoswa na Simba punde tu
 Twiga akipiga chabo kwa juu
 Mawindoni.....
 Duma wakipiga stori na kuota jua
Wazee wa kazi...

No comments:

Post a Comment